Upatikanaji na matumizi ya taarifa za kilimo.

dc.contributor.authorMtega, Wullystan
dc.date.accessioned2022-04-12T11:01:54Z
dc.date.available2022-04-12T11:01:54Z
dc.date.issued2021-05-16
dc.description.abstractShughuli za kilimo huhusisha uzalishaji wa kumbukumbu tofauti. Kumbukumbu hizo hutokana na malipo mbalimbali yafanywalo shambani na shughuli za uzalishaji shambani. Kumbukumbu za kifedha hurekodi gharama za uwekezaji za kudumu na gharama za uendeshaji wa miradi ya kilimo. Zile za uzalishaji hurekodi taarifa mbalimbali zisizohusu pesa ambazo hutokea shambani. Kumbukumbu zote hizi ni lazima zirekodiwe kwa usahihi na kwa wakati ili zisaidie katika kutoa maamuzi. Wakulima wanatakiwa kutunza taarifa ya matukio yote ya muhimu yahusuyo shughuli za kilimo zinazofanyika katika mashamba yao. Bila kutunza kumbukumbu za kilimo wakulima hujikuta wanaingia kwenye hasara zisizo za msingi.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/580
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine University of Agricultureen_US
dc.subjectTaarifaen_US
dc.subjectKumbukumbuen_US
dc.subjectRekodien_US
dc.subjectTehamaen_US
dc.titleUpatikanaji na matumizi ya taarifa za kilimo.en_US
dc.title.alternativeMwongozo kwa Wakulima.en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
kitabu 9 UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU ZA KILIMO.doc
Size:
4.92 MB
Format:
Microsoft Word
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections