Zijue kanuni za kilimo bora cha zabibu

dc.contributor.authorMalekani, Andrew
dc.date.accessioned2022-04-12T10:59:37Z
dc.date.available2022-04-12T10:59:37Z
dc.date.issued2021-05-15
dc.description.abstractKitabu hiki kinatoa mwongozo wa mbinu bora za uzalishaji wa Zabibu kwa mkulima wa kawaida, pia tumetumia lugha rahisi ili kumuwezesha mkulima kuelewa kwa urahisi, pia kimetumia michoro mingi ili kumsaidia mkulima kuona kwa vitendo, na pia kimetumia mazingira halisi ya Wakulima wa Zabibu mkoani Dodoma. Jitihada nyingi zimefanyika ili kuhakikisha Wakulima wa Zabibu mkoani Dodoma wanalima kisasa zaidi ili kujihakikishia mavuno bora na ya uhakika kipindi cha msimu wa mavuno. Kutokana na utafiti uliofanyika na Taasisi mbalimbali inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya Wakulima wa Zabibu mkoani Dodoma wanalima kwa kutumia uzoefu tu na si kitaalamu kama inavyotakiwa, hii inapelekea Wakulima wengi kutumia gharama kubwa katika uzalishaji wa zao hili kwa kuwa wengi wao wanatumia uzoefu na si utaalamu, hivyo kupelekea Wakulima kupata kipato kidogo ambacho hakilingani na uwekezezaji walioweka. Hivyo kitabu hiki kitaainisha mbinu zote za msingi katika uzalishaji wa Zabibu ili kumpunguzia mkulima gharama za uzalishaji, na pia kuendesha kilimo kibiashara zaidi. Nimatumaini yangu kuwa kama Wakulima watazifuata mbinu hizi wataongeza uzalishaji wa zao hili na hivyo kuwaongezea kipato zaidi.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/579
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine University of Agricultureen_US
dc.subjectzabibu,Mbegu, Shamba,en_US
dc.titleZijue kanuni za kilimo bora cha zabibuen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
kilimo cha zabibu.pdf
Size:
1.8 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections