Usindikaji rahisi wa muhogo

Loading...
Thumbnail Image

Date

2022

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo( SUA )

Abstract

Muhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa "Tanzania. Faida za muhogo ni nyingi na hasa katika kuongeza uhakika wa chakula na pato la kaya. Uboreshwaji wa njia za kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali za vyakula umeongeza nafasi ya muhogo katika kilimo hapa Tanzania. Shime sote tuongeze juhudi katika kilimo cha muhogo - MUHOGO NI MALI.

Description

Kipeperushi

Keywords

Muhogo, Uindikaji wa muhogo, mihogo michungu, mihogo mitamu

Citation

Collections