Jarida la Mifugo na Uvuvi
| dc.contributor.author | Wizara ya Mifugo na Uvuvi | |
| dc.date.accessioned | 2026-03-31T08:37:48Z | |
| dc.date.available | 2026-03-31T08:37:48Z | |
| dc.date.issued | 2025-04 | |
| dc.description | Jarida | |
| dc.description.abstract | Serikali imekuwa ikichukua hatua na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukabiliana na uvuvi haramu. Mikakati hiyo ni pamoja na kufanya maboresho ya Sera, Sheria, Kanuni na Miongozo inayosimamia rasilimali za uvuvi ikiwemo matumizi ya teknolojia za kisasa katika kusimamia rasilimali za uvuvi, kuimarisha Vikundi vya Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi (BMUs), kutoa elimu ya kudhibiti uvuvi haramu na matumizi endelevu ya rasilimali za uvuvi, kuhamasisha uanzishwaji wa Vyama vya Ushirika wa Wavuvi na kuimarisha ufugaji wa viumbe maji. | |
| dc.identifier.uri | https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/976 | |
| dc.language.iso | other | |
| dc.publisher | Wizara ya Mifugo na Uvuvi | |
| dc.relation.ispartofseries | Toleo Na.004 | |
| dc.subject | MIFUGO | |
| dc.subject | UVUVI | |
| dc.subject | CHANJO | |
| dc.subject | MALISHO | |
| dc.subject | SAMAKI | |
| dc.subject | UVUVI HARAMU | |
| dc.title | Jarida la Mifugo na Uvuvi | |
| dc.type | Other |