Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Wizara ya Mifugo na Uvuvi"

Now showing 1 - 6 of 6
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Jarida la Mifugo na uvuvi
    (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2026-01) Wizara ya Mifugo na Uvuvi
    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ambapo wamejadili kuhusu miradi inayotekelezwa kuendeleza sekta ya mifugo na uvuvi. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika Januari 16, 2026, ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru ameonesha kufurahishwa na ujio wa ujumbe huo ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa IFAD nchini. Amesema serikali ya awamu ya sita imeendelea kuimarisha mazingira rafiki ili kuruhusu wawekezaji na sekta binafsi kushiriki katika kusukuma maendeleo ya wananchi.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Jarida la Mifugo na Uvuvi
    (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2025-04) Wizara ya Mifugo na Uvuvi
    Serikali imekuwa ikichukua hatua na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukabiliana na uvuvi haramu. Mikakati hiyo ni pamoja na kufanya maboresho ya Sera, Sheria, Kanuni na Miongozo inayosimamia rasilimali za uvuvi ikiwemo matumizi ya teknolojia za kisasa katika kusimamia rasilimali za uvuvi, kuimarisha Vikundi vya Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi (BMUs), kutoa elimu ya kudhibiti uvuvi haramu na matumizi endelevu ya rasilimali za uvuvi, kuhamasisha uanzishwaji wa Vyama vya Ushirika wa Wavuvi na kuimarisha ufugaji wa viumbe maji.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Jarida la Mifugo na Uvuvi
    (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2025-02) Wizara ya Mifugo na Uvuvi
    UVUVI NI UTAJIRI! ndivyo ambavyo unaweza kusema kupitia Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo inahakikisha inaleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya Uvuvi kwa kuweka jicho la kipekee kwenye Uchumi wa Buluu. Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inatekeleza mradi wa ukopeshaji wa boti za kisasa kwa wavuvi wa Ukanda wa Pwani, Ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa, ambapo mradi huo unalenga kuwezesha wananchi kufanya uvuvi na ukuzaji viumbe maji endelevu na wenye tija na kuwajengea mazingira wezeshi ili waweze kuongeza uzalishaji wa mazao ya uvuvi.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Jarida maalum la nane nane 2025
    (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2025) Wizara ya Mifugo na Uvuvi
    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewataka viongozi wa sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi nchini kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha chakula katika ukanda wa Afrika. Mhe. Dkt. Mpango amesema hayo wakati wa hotuba yake ya Ufunguzi wa Maonesho ya kimataifa ya Nane Nane aliyoitoa Agosti 1, 2025 kwenye Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma ambapo amesisitiza Viongozi hao kuwa kinara kwenye utekelezaji wa dira ya Taifa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025-2050. Aidha Dkt. Mpango amewataka wafugaji kuwekeza katika uzalishaji wa kisasa wa bidhaa zinazotokana na mifugo ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nje, kuendeleza uvuvi na ufugaji wa samaki na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje kuwekeza kwenye miundombinu baridi ya uhifadhi na usafirishaji wa mazao wa Mifugo na Uvuvi.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Jarida maalum la nanenane
    (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2025) Wizara ya Mifugo na Uvuvi
    Wizara ya mifugo na uvuvi imeibuka na ushindi huo baada ya kuongoza katika vigezo mbalimbali hali iliyochagizwa na maandalizi mazuri iliyofanya katika maonesho hayo huku kivutio kikubwa kikiwa ni Paredi ya Mifugo iliyoambatana na maonesho ya Ndege nyuki maalum inayotumika kwenye udhibiti wa Uvuvi haramu. Akizungumza katika kilele cha Maonesho hayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mbali na kuipongeza Wizara hiyo kwa jitihada ilizochukua katika udhibiti wa magonjwa ya Mifugo kupitia utekelezaji wa kampeni ya kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo, ameielekeza kuhakikisha inaweka kituo cha Ugani kwenye viwanja vya Maonesho hayo jijini Dodoma ambavyo rasmi leo vimetambulishwa kwa jina la Dkt. John Samwel Malecela ili wananchi waendelee kunufaika na elimu ya masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya Mifugo na Uvuvi
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Maonyesho ya kimataifa ya Nanenane
    (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2025) Wizara ya Mifugo na Uvuvi
    Bodi ya Nyama Tanzania imeundwa chini ya Sheria ya Nyama Namba 10 ya Mwaka 2006 na kuzinduliwa tarehe 14 Novemba 2008. Bodi imepewa mamlaka ya kusimamia utekelezaji wa Sheria ya nyama kwa lengo la kuweka misingi madhubuti ya kiutawala ili kuhakikisha uzalishaji, usindikaji na biashara ya nyama na bidhaa zake unazingatia viwango vya ubora ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nje.

DSpace software copyright © 2002-2026 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback