Browsing by Author "Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu Tanzani (TOSCI)"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Usajili wa aina mpya za mbegu za mimea ya mazao(TOSCI, 2017) Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu Tanzani (TOSCI)Utaratibu wa Kusajili Aina Mpya za Mbegu. Kanuni ya 7 ya mbegu inataka kila aina mpya ya mbegu itakayosajiliwa nchini ifanyiwe majaribio ya Utambuzi (DUS Test) na Umahiri (NPT) isipokua kwa aina za mboga mboga ambazo husajiiwa baada ya kufanya jaribio la utambuzi tu. Pia Kanuni ya mbegu (4(2)) inaruhusu Tanzania kupokea taarifa ya majaribio ya Utambuzi kutoka nchi wanachama wa UPOV.