Browsing by Author "Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Jinsi ya kutambua mbegu zisizo na ubora na mbegu bandia (FEKI )(TOSCI, 2017) Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa MbeguMatumizi ya mbegu zisizo na ubora na mbegu bandia (feki) yamesababisha wakulima kupoteza kipato kwa kupata mazao hafifu na hata kutopata mavuno kabisa. Sheria ya Mbegu ya Mwaka 2003, inamlinda mkulima asiuziwe mbegu zisizo na ubora na mbegu bandia (feki). Pamoja na kuthibitisha ubora wa mbegu, TOSCI ina jukumu la kusimamia utekelezaji wa sheria hiyo ili kumlinda rnkulima asiuziwe mbegu zisizo na ubora na mbegu feki.