Browsing by Author "Mradi wa mafunzo ya wakulima"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Korosho(Wizara ya kilimo, 1983) Mradi wa mafunzo ya wakulimaUzalishaji wa korosho duniani umekua ukiongezeka kila mwaka kutokana na jitihada zinazoendelea katika nchi mbalimbali kufanya upanuzi wa maeneo ya kilimo cha korosho, pamoja na matumizi ya teknolojiaka- ma vile matumizi ya mbegu bora. Aidha, katika bara la Afrika kumekuwa na jitihada za kuongeza ubanguaji wa korosho pamoja na kuongeza uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na korosho.