Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Malekani, Andrew"

Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Kilimo bora cha alizeti
    (Sokoine University of Agriculture, 2021-05-12) Malekani, Andrew
    Alizeti hutambulika kitaalamu Kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Vilevile ni zao ambalo halihitaji mbembejeo za gharama sana ukilinganisha mazao mengine kama mahindi, ngano, n.k. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusini
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Mwongozo wa uzalishaji wa viazi mviringo
    (Sokoine University of Agriculture, 2021-05-20) Malekani, Andrew
    Nchini Tanzania viazi mviringo ni zao muhimu kwa chakula na biashara. Kwa uzalishaji, viazi mviringo ni zao la tatu baada ya mahindi na mpunga. Zao hili ni muhimu kwa usalama wachakula, kuboresha lishe, ajira na kuongeza kipato. Nchini Tanzania matumizi ya viazi mviringo yanaongezeka kwa kasi vijijini na mijini kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na mahitaji ya vyakula vitokanavyo na viazi mviringo. Soko lake la uhakika ni kwenye miji mikuu kama Dares Salaam, Mwanza na Dodoma. Masoko ya nje pia yameendelea kuongezeka. Viazi mviringo au Viazi Ulaya ni zao ambalo la asili, pia zao hili ni miongoni mwa mazao jamii ya mzizi (tuberous crop) na linalodumu, kwa jina la kitalaam linaitwa Solanum tuberosum. Neno “Kiazi” linatokana na maana ya mmea ambao una aina “tuber” yaani chenyewe. Viazi mviringo ni zao muhimu la chakula na biashara katika nchi nyingi zinazoendelea. Viazi hukomaa katika kipindi cha miezi mitatu hadi mitano. Viazi mviringo vina virutubisho vingi mfano vitamin, protin, madini na maji.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Zijue kanuni za kilimo bora cha zabibu
    (Sokoine University of Agriculture, 2021-05-15) Malekani, Andrew
    Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa mbinu bora za uzalishaji wa Zabibu kwa mkulima wa kawaida, pia tumetumia lugha rahisi ili kumuwezesha mkulima kuelewa kwa urahisi, pia kimetumia michoro mingi ili kumsaidia mkulima kuona kwa vitendo, na pia kimetumia mazingira halisi ya Wakulima wa Zabibu mkoani Dodoma. Jitihada nyingi zimefanyika ili kuhakikisha Wakulima wa Zabibu mkoani Dodoma wanalima kisasa zaidi ili kujihakikishia mavuno bora na ya uhakika kipindi cha msimu wa mavuno. Kutokana na utafiti uliofanyika na Taasisi mbalimbali inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya Wakulima wa Zabibu mkoani Dodoma wanalima kwa kutumia uzoefu tu na si kitaalamu kama inavyotakiwa, hii inapelekea Wakulima wengi kutumia gharama kubwa katika uzalishaji wa zao hili kwa kuwa wengi wao wanatumia uzoefu na si utaalamu, hivyo kupelekea Wakulima kupata kipato kidogo ambacho hakilingani na uwekezezaji walioweka. Hivyo kitabu hiki kitaainisha mbinu zote za msingi katika uzalishaji wa Zabibu ili kumpunguzia mkulima gharama za uzalishaji, na pia kuendesha kilimo kibiashara zaidi. Nimatumaini yangu kuwa kama Wakulima watazifuata mbinu hizi wataongeza uzalishaji wa zao hili na hivyo kuwaongezea kipato zaidi.

DSpace software copyright © 2002-2026 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback